Utetezi wa saba wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 18, 2025
Kilichojiri kwenye utetezi wa siku ya sita kipo hapa: GE2025 - Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025
Hadi muda huu watu...
Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025.
Kilichojiri kwenye utetezi wa tano kipo hapa: GE2025 - Utetezi wa tano wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 15, 2025
===
Majaji wameingia kwenye...
Utetezi wa tano wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 15, 2025.
Hii ni baada ya kutupiliwa mbali kwa pingamizi lake la awali, hukumu ipo hapa: GE2025 - Mahakama kuu yatupilia mbali pingamizi la Lissu, kesi yake ya Uhaini kuanza kuunguruma mchana wa...
Ni kusuka au kunyoa. Kikwazo cha kwanza kitatolewa majibu leo, kama Lissu ataachiwa huru au majaji watatupilia mbali hoja zake.
Kumbuka, Lissu aliibua hoja za msingi sana zilizohusisha uwepo wa mapungufu makubwa ya kisheria kwenye commital process iliyofanyika Kisutu hivyo kuialika mahakama kuu...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Septemba 8, 2025 amefikishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili, kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing - PH).