Siku hizi huku mtandaoni naona kila mmoja amekuwa mtaalamu wa masuala ya afya, huyu anasema kula matunda yenye sukari eti ni chanzo cha kuua Ini, sijui anataka tule matunda yenye chumvi, JamiiCheck tafadhali mtupe uhalisia wa hili.
Mpaka kufika 2023, TZ ilikuwa na wagonjwa wapya wa kansa zaid ya 50K !
Prevalence ya Figo imetoka 7% kuelekea 12, 13, na 14% last update ya 2023. Same as Ini.
Je, tatizo ni nini ?
Kwangu mm nitapenda kujadili point moja tu among the other factors .
Hizo political fame za Janabi za kula...