Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mawokota Kusini Yusuf Nsibambi kutokea chama cha Forum for Democratic Change, amekata umeme kwenye sehemu ya jimbo lake baada ya kupoteza nafasi yake kwenye Uchaguzi uliofanyika Januari 2026 kwa mgombea kutokea chama cha NRM, Suzan Nakawuki.
Nsibambi, ambaye...