uenyekiti wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea

    Wakuu, Mambo bao moto, Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA, Maulid Abdallah aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
  2. JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kumbwaga Msigwa, Sugu agombee uenyekiti wa CHADEMA Taifa kurithi Mikoba ya Mbowe

    Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda. Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu wameangukia Pua dhidi ya wagombea wa Mbowe akina Sugu na Wenje hivyo bwana Lissu amebakia mdogo kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…