Usipakue 'APP' Isiyokuwa Rasmi, katika Vifaa vyako kama Compyuta na Simu
Wapo wanaopakuwa App kutoka katika Tovuti zikisema zitawasaidia Kusafisha simu, kuweka muonekano mzuri wa Simu, App hizo hutumika kama Nyenzo ya kudukua kifaa cha Mtu huyo pasipo yeye kujua.
Zinamtaka mpakuaji kuipa APP...