udanganyifu heslb

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 17 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ulaghai wa mikopo HESLB

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa onyo kali kwa waombaji wa mikopo, ikisisitiza kuwa haitavumilia vitendo vya kughushi nyaraka kwa lengo la kujipatia mikopo isivyo halali. Onyo hilo limetolewa baada ya wanafunzi 17 pamoja na mhitimu mmoja kutoka vyuo mbalimbali vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…