Wajumbe naona mnavyochakarika kuuinua uchumi wa nchi na kuhakikisha mkono unaenda kinywani kongole sana.Niende moja kwa moja kwenye jambo letu.
Tumekuwa tukishuhudia jinsi ambavyo wanamke(baadhi🤔) wanajitahidi kuhakikisha wanayapambania maisha na hata kushiriki kutatua changamoto za kifamilia...