Ndugu zangu kilichonisukuma kuandika haya ni kile ninachokiona na kukisoma kwa baadhi ya wenye kujiita watumishi wa Mungu, hasa hawa wetu wa makanisa ya Kipentekoste, Mitume na Manabii na baadhi ya Wachungaji,
Uchawa tulikuwa tunashuhudia kwa wafuasi wa wanasiasa na wasanii mbalimbali lakini...
Wakuu niaje?
Nimekutana na clip ya Sheikh Kishki akisema kuwa Uchawa (kujipendekeza kwa watu ili update maslahi kumekatazwa katika Uislam).
Vipi kuhusu viongozi wetu wa dini ambao wamekuwa machawa wabobevu?
Hebu msikilize mwenyewe hapo chini utie neno