Bunge la Ulaya limeuita uchaguzi wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026 kwa jina la 'Operesheni ya Kijeshi' ya kukandamiza upinzani pekee wenye nguvu ya ushawishi. Vyombo vya usalama vilitumika si kulinda wapiga kura, bali kutisha, kuua, kuwakamata na kuwaweka kizuizini, kutesa, na kunyamazisha...