CHADEMA hebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya, acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwa Wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro...