uchaguzi uganda 2026

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Wanasheria wafungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki kubatilisha matokeo ya uchaguzi Uganda

    Chama cha Wanasheria wa Uganda (ULS) na Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS) wamefungua kesi katika Mahakama ya Haki ya Afrika Masharik iliyoko Arusha, wakilalamikia ukiukwaji wa viwango vya kidemokrasia katika uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026. Wanadai Tume ya...
  2. Wasimamizi wawili wa Uchaguzi wakamatwa kwa tuhuma za udanganyifu kwenye Uchaguzi

    Maafisa wawili wa uchaguzi walikamatwa katika kituo cha kujumlishia kura cha Kigando, wilayani Mubende, kwa tuhuma za kuhusika na udanganyifu wa uchaguzi. Watuhumiwa ni Kasaija Robert, Afisa Mrejeshaji wa Parokia ya Bubanda, na Mutabaazi Moses, askari polisi aliyekuwa zamu. Walikamatwa baada ya...
  3. R

    Rais wa Kenya William Ruto ampongeza Museveni kwa kuaminiwa tena na wananchi kuwa rais wa Uganda

    Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Samoei Ruto, amemtumia salamu za pongezi Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, kufuatia kutangazwa kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu uliokamilika nchini humo tarehe 17 Januari, 2026. Katika barua yake rasmi iliyotolewa leo Januari 18, 2026, Rais Ruto...
  4. Museveni: Serikali imejenga miundombinu ya Intaneti, kuizima ni kama kufunga barabara kwa muda. Upinzani ni wezi wa kura ila umaarufu wetu unawashinda

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amefafanua msimamo wake katika uchaguzi wa mwaka huu, ambapo anatafuta kuongeza muda wake wa uongozi kwa miaka mingine mitano, hivyo kuongeza zaidi ya miongo minne aliyokaa madarakani. Mwaka 2005, Bunge la Uganda lilipitisha marekebisho tata ya Katiba yaliyoondoa...
  5. Uganda mambo yameshaanza kuwa moto; Wana wasiwasi ni kwamba Byabakama anaweza kuwa mkata nyaya

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Uganda, Simon Byabakama, amesema amepokea vitisho vingi vinavyomtaka asimtangaze mgombea fulani kuwa rais wa uchaguzi utakaofanyika Alhamisi (15 Januari 2026). Lakini yeye anasema hana hofu hata kidogo hata kama vitisho vinatoka kwa watu wakubwa serikalini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…