uchaguzi chamwino

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndilito kumrithi Ndejembi Chamwino

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Chamwino, mkoani Dodoma, Godfrey Mnyamale, amemtangaza Dkt. Netho Ndijina Ndilito wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi wa ubunge katika jimbo hilo baada ya kupata kura 70,974, sawa na asilimia 81.9 ya kura zote halali. Mnyamale ametangaza matokeo...
  2. JamiiForums Tanzania Kigaila: Kesho tusiende chooni mara kwa mara, tuhakikishe kura zetu zinapigwa, zinalindwa na zinatangazwa

    Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma ((CHAUMMA), Benson Kigaila amewataka mawakala wa chama hicho kuhakikisha hawatoki katika vituo vya kupigia kura ili kusimamia na kulinda kura zao hadi matokeo yatakapotangazwa. Kigaila ameyasema hayo leo Novemba 3, 2026, katika Kata ya Dabalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…