Nimejaribu kuangalia mijadala ya wagombea wa Chama Chaumma(CHAUMMA), CUF, na AAFP, nikiri kuwa ukosefu wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA), kumefanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa Moja ya chaguzi za hovyo tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe,
Nakiri kuwa Tundu Antipas Lissu na John...