Jionee mwenyewe kwenye picha... Hapa ni Manispaa ya Mtwara Mikindani.
Bwana Afya na Bibi Afya wapo tu, wanasubiri milipuko ya magonjwa ili waandike madosari ya kuomba fedha. Hakuna jitihada za kweli za kuzuia, bali kusubiri matatizo yatokee ndipo wachukue hatua – tena kwa maslahi yao binafsi.