Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limesema linafanya uchunguzi tukio la kuuawa kwa Daud Mtuyehabi, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Jimbo la Siha.
Tukio la kujichukulia sheria mkononi limetokea Oktoba 7, 2025 majira ya saa 1:30 usiku katika Kijiji cha Kilingi, baada...