Ambindwile ambaye ni mtaalamu wa sheria mwenye uzoefu mpana, ambaye pia ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni ya sheria ya The Icon Law Corporate Attorneys, yenye makao yake makuu katika jengo la Law House, Mkoani Iringa.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu...