ubia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimepata ujumbe kuwa TBC imeingia ubia na Airtel TV

    Leo nimepata ujumbe toka TBC ukinijulisha kuwa niangalie kombe la dunia kupitia Airtel Tv kwa kutumia simu yangu! Airtel ni kampuni ya biashara ya mawasiliano ya simu, je, TBC inapoitangazia biashara kwa kupitia ujumbe mfupi kwenye simu nayo inalipwa? Na TBC imeipataje namba yangu ya simu.
  2. Nahitaji ubia kwenye kuchimba Feldspar

    Hello wana jamvi, Matumaini yangu wote ni wazima asubuhi ya leo na ni siku nyingine alietupa Mungu kwa ajili ya mapambano, they say every new day as new opportunities. Mimi ni mchimbaji wa Feldspar, nimekuwa kwenye fani tangu September 2020, ambapo nilianza kwa kufanya survey ya feldspar mkoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…