Serikali ya Marekani imetoa onyo kuhusu wadukuzi wameanza kutumia mapungufu makubwa ya kiusalama kwenye PHP, Hii ni Teknolojia inayotumika kuendesha mamilioni ya tovuti Duniani. ๐
Kupitia mapungufu haya, wadukuzi wanaweza kuingia kwenye seva zilizoathirika bila ruhusa ya mmiliki, jambo...