Habar za muda huu Mabibi na Mabwana
Kabla sijaanza kuandika kiini cha thread hii naomba ifahamike kuwa mimi Monde Arabe siyo Chawa wa mtu yeyote wala sitegemei kuuza utu wangu kwa kuwa Chawa wa mtu yeyote (natosheka na afadhali sihitaji zaidi) Pia,sijawahi kuwasiliana na wahusika niliowataja...