Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
Tanzania ilijengwa juu ya misingi ya haki, usawa, na heshima ya uhai wa binadamu. Lakini ni lazima tujiulize kwa ujasiri: Je, bado misingi hiyo inaheshimiwa? Je, Taifa linaweza kusonga mbele wakati haki inapokanyagwa, sauti kunyamazishwa, na uhai kudharauliwa?
Leo, suala la kuachiwa huru kwa...
Mwanamajumuiya wa Afrika kutoka Kenya, Prof. Patrick Lumumba, amesema hatua za awali alizoziona kutoka kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana ikiwamo kumuelekeza Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia mashauri ya vijana mbalimbali waliokamatwa kutokana na maandamano yaliyoambatana na...