Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayolalamikiwa sana na madereva wa usafiri wa mtandao (Bolt, Farasi, Paisha n.k.) katika eneo la Kivukoni Ferry, Dar es Salaam.
Baadhi ya madereva wa bodaboda wanaopaki karibu na Pantoni wamekuwa wakifanya kitendo cha kuchomoa funguo za bodaboda...