Wakuu najua hamko salama kutokana na madhila yanayoendelea kutuandama kama Taifa.
Kama mwanachama wa JF, kuna "members" wengi ambao kwa kweli huwa ninawakubali sana kutokana na upeo wao mkubwa wa kuona mbali, akiwemo TumainiEl .
Ukifuatilia michango yake mingi, na mabandiko yake, unaweza...