Nilikuaga na mpenzi wangu tunapendana kwa kweli toka chuoni (UDSM) basi tukawa tunapiga mechi peku peku (bila kondom) eeh ghafla bidada ananiambia ana mimba kiukweli nilishtuka but anyway tukakubaliana azae tu.
Basi bibie akaja kujifungua mtoto (mimi sikujitokeza huko ukweni kabisaa)mi...