Kipindi nina mgogoro na mpenzi wangu niliomba ushauri humu JF kutokana na tabia za mpenzi wangu wengi walinishauri nijaribu kukaa naye chini na kuzungumza nae kiupole hatimaye nimefanikiwa na tumezungumza .
Katika mazungumzo aliniambia kiustarabu anaona bora tuachane au tuvunje uhusiano kwa...