Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.