Yanga sports club pamoja na kutwaa ubingwa wa 2024/25 lakini still club inakosa pesa ya kufanya usajili. Pamoja na kunywesha watu supu za ngamia na chapati na hamna ela niuzwazwa wa hali ya juu.
Hio supu leo inalipwa kwa kulipia tofari la ubigwa kiasi 24,000/=. Hio pesa waliovuruga yanga...