Wakuu,
Nataka nikaionje SGR lakini naona TRC Railway wanataka kunihujumu. Website yao inafunguka vizuri tu lakini ukifika sehemu ya kukata tiketi za SGR inakwama. Kuna nini? Au wametoa taarifa huko kuwa sight yao kwenye kipengele hiko ipo down?
Ujumbe uwafikie waheshimiwa TRC, fanyeni mambo...