Upewe Neema ya UHAI kwa upya!
Salama
Nimejikuta nawaza kwa udogo Lakini nikaona Iko haja ya kuwa na mjadala mdogo tu na ndugu ZANGU wa jukwaa hili ambao kimsingi wanajadili jambo kwa utashi mkubwa.
MCHUNGAJI anachunga kondoo/waamini/waumini, ambao wanaaminishwa kwamba maombi ndiyo msingi wa...