Ninaamini humu ndani wapo wanao ona yasiyo onekana na wanajua HUKUMU itakuwaje.
Binafsi naona kama kesi hii haita malizwa kabla ya neno la mwisho la jaji kwenye hukumu, basi haya yanaweza kujiri.
1. Atakutwa na hatia na Atahukumiwa. ☹️✍️Kwa malengo baadae Nyota inayo ng'aa(kwa mujibu wa walio...