the citizen

The Tucson Citizen was a daily newspaper in Tucson, Arizona. It was founded by Richard C. McCormick with John Wasson as publisher and editor on October 15, 1870, as the Arizona Citizen.
When it ceased printing on May 16, 2009, the daily circulation was approximately 17,000, down from a high of 60,000 in the 1960s. The Citizen published as Tucson's afternoon paper, six days per week (except Sunday, when only the Arizona Daily Star (Tucson's morning paper during the week) was published as part of the two papers' joint operating agreement).
The Tucson Citizen was the oldest continuously published newspaper in Arizona at the time it ceased publication.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Gazeti la The Citizen na katuni zinazoonesha uchaguzi huu hausomeki. TCRA watakuwa wanawazoom wakitafutia angle!

    Wakuu, Gazeti la The Citizen ilichapisha katuni hizi kwa nyakati tofauti kuonyesha mazingira ya uchaguzi nchini. Kwenye katuni ya kwanza inaonesha mnara ulianza kusoma freshi kuelekea box la kupiga kura lakini kadri jamaa anavyolikaribia box la kura mnara unashuka na hatimaye kupotea kabisa...
  2. H

    Kingamuzi cha Startimes Ikiwapendeza rudisheni channel ya The Citizen

    Ikiwapendeza rudisheni channel ya THE CITIZEN kwenye Kingamuzi chenu Binafsi huwa napenda kuangalia Citizen usiku sasa siipati tena
  3. The Citizen: Sekta ya utalii yaongoza mapato ya nchi 2023/24; kongole kwa Royal Tour

    Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:- Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
  4. The Citizen waondoa maudhui ya video za katuni (animations) zilizohusu hali ya usalama nchini, wasema zilipewa tafsiri potofu tofauti na nia yao

    Wapendwa wasomaji, Tumeamua kuondoa animation tulio-share tarehe 1 Oktoba, 2024, kutoka kwenye majukwaa yetu ya mitandao ya kijamii (X na Instagram), kwani ulionyesha matukio yaliyoibua wasiwasi kuhusu usalama wa watu nchini Tanzania. Uamuzi wetu wa kuondoa animation hizo unatokana na tafsiri...
  5. T

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%. Baada ya matokeo hayo...
  6. G

    Serikali inayapangia Magazeti kitu cha kuandika? Tazama haya magazeti

    Leo nimeshtushwa na magazeti haya mawili katika kurasa zao za mbele kubwa na vichwa vya habari vinavyofanana. Kumekuwepo na tetesi kwamba serikali imekuwa ikiyapangia magazeti habari za kuandika. Kati ya magazeti ambayo yalikuwa yamebaki na uhuru kidogo ni haya ya Mwananchi Communication...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…