Hello JamiiForums,
Ni Jumamosi nyingine tena ya mwezi wa nane huku mwaka ukikimbia kwa kasi sana yaani 2025 ni kesho kutwa tu hapo, halafu mishe na mambo yetu pengine yanaenda taratibu mno kama kinyonga.lakini tutafika tu kwa uwezo wa aliye juu
Lengo la kuandika huu uzi, ni baada ya kukumbuka...