Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linamtangaza Adel Amrouche (58) kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars.
Kocha Amrouche raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika baada ya kufundisha klabu na timu za taifa katika ukanda Kusini, Mashariki, Kati na...