teremsha bunduki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo wa TEREMSHA BUNDUKI wa Roma Mkatoliki

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, uliopewa jinala “Teremsha Bunduki”, ikiwa ni siku chache tangu ulipotoka rasmi. Taarifa ya BASATA ya leo Oktoba 21, 2025, imesema wimbo huo umevunja kanuni za Baraza, na kwa hivyo umezuiliwa...
  2. Hizi hapa lyrics za wimbo mpya wa Roma "Teremsha Bunduki"

    Afande teremsha bunduki, Unawatetea mbona hawakukumbuki, Unatuonea, unatupiga Mabuti, Mara virungu, mara unataka kutushuti, Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande teremsha bunduki! Hai hai! Afande teremshaa! Hai! Hai hai! Afande...
  3. Wimbo wa Roma Mkatoliki -Teremsha Bunduki 🎵🎶

    Huu wimbo mkali sanaa, sidhani kama hapa Tanzania atakuja msanii wa hiphop mwenye upeo kama huyu jamaa. NAAMINI PIA HUYU JAMAA ATAKUJA KUA KWENYE NYADHIFA ZA JUU SANA HAPO BAADAE PATAKAPOKUA NA TUME AMBAYO HAINA UPENDELEO KWA CHAMA CHA KIJANI (HUU UZI KUNA SIKU UTAFUFULIWA HATA USIPOONEKANA KWA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…