Wakuu salamu,
Ili mpango wako wa biashara (Business Plan) ukubalike na mabenki, taasisi za kifedha, au wawekezaji wakubwa kwenye mradi au biashara yoyote, hauwezi kusimama peke yake. Kuna nyaraka zingine za msingi na muhimu sana ambazo lazima ziandaliwe kwa pamoja hususan mchanganuzi thabiti wa...