teknolojia ni yetu sote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Achana na Blackberry kuna hii simu mpya ni balaa 2026

    Tunaweza sema Blackberry imerudi tena Kwa mwaka 2026 ๐Ÿซฃ lakini Kwa namna nyingine unajua kwanini?? Kampuni kubwa ya kutengeneza simu zenye muundo wa batani Kwa ajili ya smartphone kama ilivyo Blackberry inaitwa Click Technology imezindua simu mpya inaitwa Communicator ๐Ÿ‘€. ๐Ÿ”บ Simu hii inatumia...
  2. Walichoshindwa Apple kutoka kwenye simu za Android

    Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini ๐Ÿ™‚. Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti...
  3. Watumiaji Mtandao wa X kujulikana walipo

    Hakuna Tena kujificha kama unatumia mtandao wa X jua utaweza kutambuliwa๐Ÿ˜Ž. Mtandao wa X (Twitter) imeanza kufanya majaribio ya kuweka kipengele kipya kinaitwa "About this Account" ikiwa na uwezo wa kuonyesha Taarifa nyingi za akaunti Yako. Taarifa mbalimbali zittaweza kuonyeshwa kuhusu...
  4. ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—ท๐—ถ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐˜๐—ฒ

    YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private. Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo...
  5. Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

    Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone. Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
  6. Kama unatumia samsung hauko salama tena

    Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa. App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa...
  7. ๐—œ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿญ ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ถ๐—ป ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ

    ๐Ÿ—ฏ๏ธ Moja kati ya simu nzuri iliyotoka mwaka 2019 ni hii simu ya Iphone 11 Series, ni simu nzuri yenye Muonekano bomba, kamera nzuri, ufanyaji kazi wa kipekee unaopelekea simu bado kuwa na Thamani kwa mwaka 2025. ๐Ÿš€ Unajua kwanini?? ๐Ÿ”ฐ Processor yake ya A13 Bionic bado ina uwezo wa kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ