Nianze na Pale Mjini YouTube
Uki search " Jinsi ya kutengeneza Software " saaana inakuja Youtube Channel Ya NK -- NK- Computer Training,, kwa wingi sana, na Uki Muuliza ROBOT yoyote au wengine wanasema AI , wengine ChartGPT,,
Majibu unayo yapata huko mjini youtube na kwa ROBOT ni tofauti...