tanzania realestate

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalali_wa_kimataifa

    Nyumba inauzwa,ipo Mbweni Dar es salaam Tanzania, nyumba ni mpya ni ya kwanza kutoka barabara ya lami, bei ni billion 1,

    HOUSE FOR SALE Location: Mbweni JKT
Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,860
Umiliki: Hati miliki ipo, eneo lina hati mbili-eneo moja limejengwa jingine lipo wazi. 💰 Bei: TZS Bilioni 1 kwa hati zote mbili Sifa za Nyumba: #Vyumba 4 vyote ni master bedrooms (vina makabati) #Balcony mbili Sea View...
  2. Dalali_wa_kimataifa

    House for sale in Tanzania

    #houseforsale Nyumba ya Ghorofa inauzwa 📍IPO Mbezi Beach - Kilongawima Location Nyumba inagusa lami ya Mbezi Beach ya chini kwa Mwamunyange Nyumba ya Ghorofa Ina vyumba v6 vya kulala, v4 master bedrooms, study room, dining room, sitting room na public toilet. Servant Quarter 1 Ina one...
  3. Dalali wa kimataifa

    Kutana na eneo lenye ukubwa wa ekari 57,halina kipengele labda uje nacho wewe tajiri, eneo lipo chamakweza chalinze,morogoro road,bei ni milioni 854

    Eneo la Ekari 57 linagusa Morogoro road linauzwa Chamakweza, Chalinze Location Eneo lipo upande wa kulia ukitokea Dar es Salaam Upana wa mbele Ekari 2 zimegusa lami zinazobaki nyuma -Eneo ni tambarare halina Mlima Eneo linafaa kwa ujenzi wa Kiwanda, Godown, Yard na Bandari Kavu n.k -Plot...
Back
Top Bottom