TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA ULINZI.
Kampuni ya ulinzi ya SYNERGY SECURITY Ltd Inatangaza nafasi za kazi za ulinzi kwa vijana wakike
na wakiume, kwa sehem zifuatazo; Dodoma, Dar es salaam,Masasi, Arusha, Na Zanzibar; wenye
sifa zifuatazo;
01. Awe mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na...