Leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar na sherehe zimeshaanza kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma na anaeongoza ni makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi hawajahudhuria sherehe za leo...