Afisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo amesema Taifa Stars haikuvalia vazi linalowakilisha taifa wakati ikiwasili Morocco kwenye mashindano ya AFCON kutokana na Tanzania kutokuwa na vazi rasmi la Taifa.
Ndimbo ameongeza kuwa hata vazi la Kimaasai, ambalo wengi wamelitaja, si utambulisho rasmi wa...