taifa letu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Taifa letu lina mgogoro gani mkubwa mpaka mnataka maridhiano? Au mazoea ya siasa za kubebwa ndio inawasumbua

    Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa. Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi? Zuio la...
  2. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na hatma ya Taifa letu

    Siku moja nikiwa kijiweni kwetu na vijana wenzangu tukipiga stori mbili-tatu asubuhi. Mwenzetu mmoja ambaye ni fundi wa bajaji aliniuliza swali lililofanya nifike mbali sana kuhusu hali za mataifa yetu ya kiAfrika, huku nikimshukuru Mungu kwa hali ambayo bado tunayo Tanzania kama Taifa. Jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…