taifa langu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa namna ninavyoona taifa langu likipotea, nabugia Balimi kwa kwenda mbele na kuchanganya na Konyagi. CCM imeharibu mustakabali wa Taifa letu

    Naona kama taifa letu halina future tena. Mwalimu Nyerere aliwategemea hawa jamaa wa iliyokuwa USSR. Kwa ujinga uliokuwepo tukaimbishwa nyimbo kuwa ni watu wazuri na sio wanyonyaji. Lakini hakuna walichotusaidia zaidi ya wao kuuza siraha zao na kunufuika wakati wa vita vya Kagera na hata pia...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka Taifa la kuheshimika hadi kuitwa la wauaji. Wahusika wasionewe aibu, waadhibiwe vikali

    Kwenye hili tusijali cheo cha mtu, wadhifa au umaarufu wake wote waadhibiwe vikali. Kuna wengine wana kinga ambazo wamejiundia kwa kutumia bunge hilihili, basi tuwakabidhi kwenye mahakama za kidunia ambako hawana kinga za kipuuzi kama hizi. Na vikao vijavyo vya bunge tuangalie namna ya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nalilia Taifa langu nazililia idara za Usalama wa Taifa, hakuna anayeona kesho ya Tanzania

    Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga...
  4. JamiiForums Tanzania Special Thread: Motivational/ Interesting/ Wise Quotes

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…