tabia ya mtu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

    hawapendi mgeni akae muda mrefu hawapendi kukaa ugenini wana marafiki wachache sana au hawana hupenda kujifungia hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
  2. Tabia ya Mtu kufanana na Mungu na tusio yaamini sana.

    Huenda ni kwasababu ya nidhamu ya uwoga na ujinga ndio sababu tumekuwa watumwa wa kifikra, Mapokeo mabovu ya kidini na Waalimu wanafiki ndio wametufikisha hapa tulipo leo katika fikra za kila mmoja wetu.. Ni maswali kuhusu huyu Mungu na nini anakifanya kwetu hadi sasa. Tabia Wajinga wengi...
  3. Kuwa mwizi, kahaba /Malaya Ni tabia ya mtu wala sio ugumu wa maisha

    Ieleweke hivyo. Kutafuta visingizio eti kwa sababu ya ugumu wa maisha nikajikuta nimekuwa jambazi au Malaya hiyo ni tabia yako tu hata ungekuwa na hela tamaa ya wizi isingekutoka. Mifano ni mingi sana watoto wakike wengi wamezalishwa ovyo kwa tamaa ya kuwa na I phone au simu kali kali siyo...
  4. H

    Tabia ya mtu kupokea na kuongea na simu wakati anakula chakula inakera na siyo ustaarabu

    Habarini, Yaani unampigia mtu simu kuongea labda maswala ya kazi amapokea simu huku akiwa anakula na kuendelea kuongea huku likitafuna chakula ni tabia ambayo inakera na siyo ustarabu. Kwani ukipokea simu ukatuma sms ukaomba akupigie simu badae kwakuwa unakula kuna shida gani??? Ebu...
  5. Jinsi mazingira yanavyoathiri tabia ya mtu

    Sio mwaandishi mzuri ila nimesoma. Mazingira ni kichocheo kimona wapo cha tabia ya mtu hivyo alivyo ni kutokana na mazingira yamemfanya hawe ivyo alivyo. Kuna watu tunawalaumu watu kuwa wanatabia mbovu ila ni kwamba tabia walizo nazo ni mazingira yamewashape ivyo. Nini nataka kusema just...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…