Kama kweli serikali inataka kutenda haki ktk ukusanyaji kodi kwa wananchi wake basi ni vyema makanisa na misikiti iwaanze kutoa EFD receipt kwa sadaka ghafi kwaajili ya kulioa kodi.
Nasema hivyo kwa kuwa viongozi wadini wanaitetea serikali badala ya kuttea wananchi kwakuwa wamepewa rushwa...