Kuna yule binti Mtanzania aliyekuwa mshauri wa rais wa Zambia katika mahusiano ya umma, alisema kwamba, alipofika Zambia alikuta hali ni mbaya sana kuhusu usambazaji wa taarifa kati ya serikali na wananchi kwa sababu serikali ilikuwa haiwapi taarifa wananchi kwa wakati, hali iliyopelekea...