taarifa potoshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mada:Je, mchakato wa kuhakiki taarifa kwenye vyombo vya habari unaendana na kasi ya kuenea kwa taarifa potoshi?

    Wakuu, Dunia ya sasa ipo kiganjani mwako, lakini je, kila unachokisoma au kusikia ni cha kweli? Shiriki nasi katika Mjadala wa "Mchakato wa Kuhakiki Taarifa Kwenye Vyombo vya Habari, Unaendana na Kasi ya Kuenea kwa Taarifa Potoshi" kupitia Instagram Live ya JamiiForums. Mjadala huu...
  2. LGE2024 JamiiCheck ilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Taarifa sahihi huwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi

    Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
  3. Taarifa Potoshi ni chanzo cha maamuzi mabovu. Je, ni upi wajibu wa vyombo vya habari katika kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi?

    Vyombo vya habari vina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi na kwa wakati ili kuchochea maamuzi sahihi sambamba na uwajibikaji. Wajibu huo unaweza kufanikishwa kwa kupambana na kuzuia taarifa potoshi zinazosambazwa ndani na nje ya mtandao. Salome Kitomari mhariri wa gazeti la...
  4. Wakuu! Vipi ili tangazo la Salimu Kikeke na Zitto Kabwe

    Hii ni sehemu sahihi ya kuwekeza, au ni upigaji mpya. ================= Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu (Key word search) umejiridhisha kuwa video hiyo imepotoshwa kutoka kwenye video halisi ambayo ni sehemu ya matangazo mbashara ya kipindi cha...
  5. Je, wajua Akili Mnemba inaweza kutengeneza mazungumzo ya Ujumbe mfupi na kupotosha Uhalisia?

    Umewahi kukutana na mazungumzo mtandaoni yaliyo katika ujumbe mfupi yakihusisha watu maarufu au viongozi wa kisiasa mathalani kutoka makundi sogozi ya Whatsapp? Je, umewahi kujiuliza kuhusu Uhalisia wake? Usiwe mwepesi wa kuamini maudhui kama hayo kwani teknolojia ya Akili Mnemba inaweza...
  6. PreGE2025 Siasa zetu ziwe na mipaka yake, mwanasiasa anapotamka jambo la uongo, sheria ichukue mkondo wake!

    Naomba na kuipigia magoti serekali yetu juu ya wanasiasa kutamka mambo ya uongo hadharani yenye nia ya kudanganya umma basi sheria kali zichukuwe mkondo wake mara moja Bila huruma yoyote, Nimesikitishwa sana na matamshi ya HECHE, kuusiana na uwanja wa ndege wa kilimanjaro ya kuwa umechukuliwa...
  7. Epuka kusambaza Taarifa potoshi kipindi hiki cha uchaguzi, thibitisha mara kwa mara

    Katika kipindi cha uchaguzi Taarifa za uzushi hutengenezwa kwa kiwango kikubwa na kusambazwa kwa njia mbalimbali ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii. Taarifa hizo zinaweza kuhususisha sauti, video, picha na maandishi mbalimbali huku ikidaiwa kuwa imetolewa na mwanasiasa fulani ama zinamuhusu...
  8. J

    Umewahi kupiga kura kutokana na taarifa ambayo baadaye ulikuja kugundua ni uongo?

    Wakati nyakati za Uchaguzi zinapokaribia ukiwemo wa Serikali za Mitaa 2024, ni rahisi kwa Mwananchi asiye na Taarifa Sahihi kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati akijiandaa na Michakato hiyo hadi Kupiga Kura. Maamuzi yoyote Sahihi kwa Mpiga Kura huchangiwa zaidi na Taarifa Sahihi alizonazo kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…