Wanabodi
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuwa wateja wanaotumia mtandao wa simu wa YAS wanakumbana na changamoto ya kupiga simu kupitia namba ya huduma kwa wateja 180.
TANESCO imewashauri wateja hao kutumia mitandao mingine ikiwemo Vodacom, Airtel, Halotel na TTCL, au kutumia...