taa za barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi hizi taa za kuongozea magari zinazofungwa sasa hapa Dar zimefanyiwa Tathmini au ni Upigaji?

    Wadau ni balaa sasa, Taa zinazofungwa kwa sasa kuanzia Barabara ya Gerezani, Sokoine Drive na Kilwa Road sio za kawaida. Ni nyingi kupita maelezo, nauliza tu aliyefanya Tathmini ya kuweka hizi taa amelenga nini? Kwa mfano ukitokea Gerezani kona ya Sokoine Drive Kuna msururu wa traffic light...
  2. Kwanini mnatupiga picha bila ridhaa yetu?

    Unapita mtaani usiku mida ya saa2au sa4 usiku ghafla kamera inatowa mwanga mkali kumbe kamera inatupiga picha si poa. Yani tunarudi kwetumakamera yenu yanatuphotowa jamani!!!!.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…