Dudu Baya, amepandisha joto la bifu kwenye tasnia ya muziki baada ya kumjia juu msanii mwenzake Suma Mnazaletti kufuatia wito wa Suma kuwataka wasanii kuungana kumpinga.
Dudu Baya ametumia mitandao ya kijamii kurusha kombora zito dhidi ya Suma Mnazaletti, akidai kuwa msanii huyo hana kazi ya...