Habarini wanajamii,
Leo napenda kuwashirikisha jambo moja kuhusiana na umuhimu kwa WAHITIMU wa elimu ya juu kurudi nyuma na kutafakari kauli ya Mh. Waziri mkuu Kassim Majaliwa (Mb) aliyoitoa hivi karibuni inayotoa pendekezo kwa wahitimu wa elimu ya juu kuangalia uwezekano wa kwenda VETA...
Takwimu za Benki ya Dunia na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Jamii na Uchumi (REPOA) zinakadiria takriban watu 800,000 hadi 1,000,000 huingia katika Soko la Ajira Tanzania kila Mwaka, ambapo wanaopata kazi ni kati ya 60,000 hadi 200,000 tu
Je, unapendekeza Serikali na Sekta Binafsi zinafanye...